Mh. Meya wa Jiji la Dar es salaam Avutiwa Banda La Afri Tea Sabasaba

Mh. Meya wa Jiji la Dar es salaam Avutiwa Banda La Afri Tea Sabasaba

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika banda la Maonyesho la Afri Tea katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyrere jijini Dar es Salaam. Kulia ni mhudumu wa Banda hilo.

Picha za matukio mbali mbali

Share this post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *