ATCB NaneNane Arusha Ilivyo Ng’ara

ATCB yang'ara Maonesho ya Nane nane 2017 yaliyofanyika Morogoro, Mbeya na Arusha. Bidhaa zake zenye ubora wa hali ya juu zawavutia wengi. Bidhaa mpya ya aina yake Uji Bora yawavutia wengi. Ni rahisi sana kuandaa, una ladha nzuri na virutubisho vingi kwa afya ya familia yote. Bidhaa za Vegeta ni kivutio kikubwa kwa wote wanaopenda kula vizuri. Viungo vya Vegeta vilikuwepo pia katika maonesho ya Nanenane  

Read more...

Nishati Mbadala ni Suluhisho la Kupunguza Ukataji Miti Ovyo- Afri Tea

Ikiwa ni katika kuboresha mazingira na kuepukana kutaka miti zipo njia nyingi sana za kuhakikisha mazingira yanaendelea kutunzwa na kuboreshwa, Kampuni ya Afri Tea and Coffee Blenders imekuja na suluhisho la kuachana na masuala ya ukataji miti ovyo. Watanzania wametakiwa kubadilika kwa kuacha kukata miti ovyo kwa ajili ya mkaa bali watumie nishati mbadala ambayo itasaidia katika kutunza mazingira. Hayo yamesemwa wakati akizungumza na Globu ya Jamii, Mkuu wa Masoko na Biashara wa Afri Tea and Coffee Blenders (ATCB) Zachy Mbenna amesema...

Read more...

Punguzo la Bei kwa Bidhaa Zetu Sabasaba

Kampuni ya Afri Tea & Coffee Blenders (1963) Limited  iliyopata tuzo ya Mshindi wa Kwanza  kwa wazalishaji bora wa bidhaa za ndani katika maonyesho ya 41 ya biashara ya kimataifa   imewashukuru  Watanzania wote kwa  kuendelea kuzipenda, kuzinunua na kutumia bidhaa zao bora,nchini kote na kuwataka kutembelea  banda lao  katika viwanja vya maonyesho Sabasaba. Akizungumza  na waandishi wa habari, Mkuu wa Idara ya Masoko na Biashara ya Nje  wa kampuni  hiyo   Ndg. Zachy Mbenna   amesema  mwaka huu wamejipanga  vema kuwahudumia...

Read more...

Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dk. John Pombe Akitukabidhi Tuzo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli (katikati) akimkabidhi  Tuzo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Afri Tea and Coffee Blenders (1963) Limited,  Abdulhakim Mulla wakati alipozindua rasmi maonyesho ya biashara maarufu kama sabasaba yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Charles Mwijage akishuhudia tukio hilo. Kampuni ya Afri Tea & Coffee Blenders (1963) Limited  iliyopata tuzo ya Mshindi wa Kwanza  kwa wazalishaji bora wa bidhaa za...

Read more...